Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AELEKEZA WANAWAKE KUJENGEWA UWEZO WA KUSHIKA NAFASI ZA MAAMUZI SERIKALINI-Mhe. Jenista


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizindua Programu ya Wanawake na Uongozi inayoratibiwa na Taasisi ya UONGOZI kwa kushirikiana na Serikali ya Finland na Umoja wa Mataifa inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.