Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTOA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI ILI WAMSADIE KATIKA KUWATUMIKIA VEMA WANANCHI NA KULETA MAENDELEO


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya USEMI na baadhi ya Watendaji wa Serikali, mara baada ya waziri huyo kufunga mafunzo ya Sanaa ya Uongozi (The Art of Leadership)   yaliyotolewa na Taasisi ya UONGOZI kwa wajumbe wa kamati hiyo jijini Dodoma.