Habari
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTOA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI ILI WAMSADIE KATIKA KUWATUMIKIA VEMA WANANCHI NA KULETA MAENDELEO

Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa (USEMI) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (aliyesimama) wakati waziri huyo akifunga mafunzo ya Sanaa ya Uongozi (The Art of Leadership) yaliyotolewa na Taasisi ya UONGOZI jijini Dodoma.