Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAWAPA MATUMAINI WENYE UHITAJI KWA KUTOA MSAADA WA KIJAMII

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumiushi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Uongozi wa Nyumba ya Amani na Furaha Hombolo jijini Dodoma inayotunza wazee na watoto alipokitembelea kituo hicho kwa lengo la kutoa msaada wa kijamii. Katikati aliyekaa ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.