Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAWAPA MATUMAINI WENYE UHITAJI KWA KUTOA MSAADA WA KIJAMII

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watoto wenye uhitaji alipowatembelea katika kituo cha Matumaini Mihuji jijini Dodoma kwa lengo la kutoa msaada wa kijamii katika kituo hicho.