Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YATEMBELEWA NA VIONGOZI WA SERIKALI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI


Mkurugenzi Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais, UTUMISHI na Utawala Bora, Bi. Mwanaamani Mtoo (Wa pili kutoka kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Aliyeshika pochi) na Viongozi wengine wa Wizara hiyo walipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa maonesho ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yatakayofanyika Mjini Morogoro.