Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASHIRIKI UZINDUZI WA BONANZA LA MICHEZO YA SHIMIWI JIJINI DODOMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa nne kutoka kulia) akifanya mazoezi ya viungo wakati wa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Wa pili kutoka kulia ni Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka. Wengine ni Viongozi wa Serikali waliohudhuria bonanza hilo.