Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASHIRIKI UZINDUZI WA BONANZA LA MICHEZO YA SHIMIWI JIJINI DODOMA


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa tano kutoka kushoto) akiwa katika matembezi (jogging) kuelekea katika Uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika leo jijini Dodoma. Wa pili kutoka kulia ni Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka na wengine ni Viongozi wa Serikali waliohudhuria bonanza hilo.