Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASHIRIKI UZINDUZI WA BONANZA LA MICHEZO YA SHIMIWI JIJINI DODOMA

Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka (hayupo pichani) alipokuwa akizindua bonanza la michezo ya SHIMIWI kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.