Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASHIRIKI UZINDUZI WA BONANZA LA MICHEZO YA SHIMIWI JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (Wa kwanza kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka (Wa kwanza kulia) wakati wa uzinduzi wa bonanza la michezo SHIMIWI katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.