Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASHIRIKI UZINDUZI WA BONANZA LA MICHEZO YA SHIMIWI JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na watumishi wa ofisi hiyo mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.