Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASHIRIKI UZINDUZI WA BONANZA LA MICHEZO YA SHIMIWI JIJINI DODOMA


Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka akizundua bonanza la michezo ya SHIMIWI kwa niaba ya mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka lililofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.