Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAPONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA KWA KUIPA USHIRIKIANO KAMATI HIYO WAKATI WA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Mashimba Ndaki akichangia hoja kuhusu serikali mtandao wakati wa kikao kazi cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na viongozi pamoja na watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (TGFA, eGA na Taasisi ya UONGOZI) kwa Mwaka 2022/23.