Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YAIBUKA NA USHINDI KATIKA MBIO ZA NYIKA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI
Mkurugenzi Msaidizi Anuai za Jamii na Mratibu wa VVU, Ukimwi na Magonjwa Yasiyoambukiza, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Mwanaamani Mtoo akimpongeza mtumishi wa ofisi hiyo Bw. Kokolo Lusanda aliyepata ushindi wa pili katika mbio za Km. 5 wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani, 2023 yanayoendelea mkoani Morogoro.