Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA TAASISI ZAKE ZAPONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA KWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE KIKAMILIFU

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo akiongoza kikao kazi cha kamati yake na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo (Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Chuo cha Utumishi wa Umma) kwa Mwaka 2022/2023