Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUSHIRIKIANA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU KUJENGA UTAMADUNI WA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU, MISINGI YA UTAWALA BORA NA UTU WA MTU

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mhe. Mathew Mwaimu akielezea majukumu ya tume yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama walipofika ofisini kwa Mhe. Jenista jijini Dodoma kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa utendaji kazi.