Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUSHIRIKIANA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU KUJENGA UTAMADUNI WA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU, MISINGI YA UTAWALA BORA NA UTU WA MTU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (hawapo pichani) walipofika ofisini kwake jijini Dodoma kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa utendaji kazi. Kulia kakwe ni Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi yake Bw. Xavier Daudi.