Habari
OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUSHIRIKIANA NA TUME YA HAKI ZA BINADAMU KUJENGA UTAMADUNI WA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU, MISINGI YA UTAWALA BORA NA UTU WA MTU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora waliofika ofisini kwake jijini Dodoma kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa utendaji kazi. Wengine ni watendaji wa Ofisi yake na wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.