Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

NYUMBA ZA WATUMISHI WA KITUO CHA AFYA NYABILEZI ZIMEJENGWA NA TASAF KUWAWEZESHA WATUMISHI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI


Sehemu ya wananchi na Walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Nyabilezi wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) mara baada ya Naibu Waziri huyo kukitembelea kituo cha afya Nyabilezi wilayani Chato wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini mkoani Geita.