Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

NYUMBA 196 ZILIZOJENGWA NA WHI JIJINI DODOMA ZAIKOSHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati yake, viongozi na watendaji wa WHI mara baada ya kamati hiyo kuhitimisha  ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa nyumba 196 zilizojengwa na WHI katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.