Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

NAIBU KATIBU MKUU, OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA, BI. PRISCA LWANGILI AONGOZA MAZOEZI KWA WATUMISHI WA OFISI HIYO KWA LENGO LA KUIMARISHA AFYA ZAO


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bi. Prisca Lwangili (wa kwanza kushoto) akifanya mazoezi ya kukimbia pamoja na sehemu ya Watumishi wa ofisi hiyo maeneo ya Mtumba jijini Dodoma kwa lengo la kuimarisha afya zao.