Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MKUU WA MKOA WA DODOMA, MHE. ROSEMARY SENYAMULE AMEFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA JIJINI DODOMA IKIWEMO OFISI YA RAIS-UTUMISHI


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule amefanya ziara ya kutembelea Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ikiwemo Ofisi ya Rais-UTUMISHI kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mji huo.