Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MKUTANO WA 9 WA MWAKA WA MTANDAO WA MAMENEJA RASILIMALIWATU KATIKA SEKTA YA UMMA AFRIKA


Mawaziri na Viongozi mbalimbali kutoka Bara la Afrika (meza kuu) wakitoa uzoefu wao kuhusu usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma wakati wa Mkutano wa 9 wa Mwaka wa Mtandao wa Mameneja Rasilimaliwatu katika Sekta ya Umma Afrika (APS-HRMnet) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).