Habari
MKURABITA YAWA CHACHU YA ONGEZEKO LA UKUSANYAJI WA MAPATO KUPITIA VITUO JUMUISHI VYA URASIMISHAJI NA UENDELEZAJI WA BIASHARA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Manispaa ya Moshi kabla ya kuzindua kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara kilichopo Manispaa ya Moshi wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa shughuli za MKURABITA mkoani Kilimanjaro.