Habari
MKURABITA YAWA CHACHU YA ONGEZEKO LA UKUSANYAJI WA MAPATO KUPITIA VITUO JUMUISHI VYA URASIMISHAJI NA UENDELEZAJI WA BIASHARA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akijiandaa kukata utepe ili kuzindua rasmi kituo Jumuishi cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara kilichopo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa shughuli za MKURABITA mkoani Kilimanjaro.