Habari
MKURABITA YATAKIWA KUTOA ELIMU YA MATUMIZI BORA YA HATI MILIKI ZA ARDHI KWA WANANCHI NACHINGWEA ILI WAZITUMIE KUBORESHA MAISHA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (katikati) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nakalonji wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge (MKURABITA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea.