Habari
MISINGI YA UTAWALA BORA NA USHIRIKISHWAJI KUIMARISHWA ILI KUWAWEZESHA WANANCHI KUPATA TAARIFA SAHIHI ZA MAAMUZI NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA SERIKALI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Ofisi yake Mhe. Ridhiwani Kikwete kabla ya kuwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.