Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MISINGI YA UTAWALA BORA NA USHIRIKISHWAJI KUIMARISHWA ILI KUWAWEZESHA WANANCHI KUPATA TAARIFA SAHIHI ZA MAAMUZI NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA SERIKALI


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejienti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwasilisha hati bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.