Habari
MISINGI YA UTAWALA BORA NA USHIRIKISHWAJI KUIMARISHWA ILI KUWAWEZESHA WANANCHI KUPATA TAARIFA SAHIHI ZA MAAMUZI NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA SERIKALI

Sehemu ya Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakitambulishwa bungeni kabla ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.