Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi yake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.