Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MILIONI 264.3 ZA TASAF ZATUMIKA KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA IKELU KAMA ALIVYOELEKEZA MHE. RAIS


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na wananchi wa Kijiji cha Ikelu, Halmashauri ya Mji Makambako mkoani Njombe wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF Makambako.