Habari
MILIONI 264.3 ZA TASAF ZATUMIKA KUSOGEZA HUDUMA ZA AFYA KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA IKELU KAMA ALIVYOELEKEZA MHE. RAIS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akipitishwa kwenye mchoro wa zahanati ya Kijiji cha Ikelu, Halmashauri ya Mji Makambako mkoani Njombe wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF Makambako.