Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHESHIMIWA RAIS AMEDHAMIRIA KILA MLENGWA WA TASAF ANAISHI MAISHA BORA-Mhe. Jenista


Mlengwa wa TASAF Bi. Kilei Kessy wa Kijiji cha Ngumbaru, Kata ya Songu Wilayani Siha akitoa ushuhuda wa namna TASAF ilivyoboresha maisha yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati akizungumza na wananchi na walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Ngumbaru kata ya Songu Wilayani Siha.