Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHESHIMIWA RAIS AMEDHAMIRIA KILA MLENGWA WA TASAF ANAISHI MAISHA BORA-Mhe. Jenista


Mwonekano wa nyumba iliyojengwa na mlengwa wa TASAF Bi. Joyce Kileo wa Kijiji cha Ngumbaru Kata ya Songu Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro.