Habari
MHESHIMIWA RAIS AMEDHAMIRIA KILA MLENGWA WA TASAF ANAISHI MAISHA BORA-Mhe. Jenista

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakiwa kwenye zizi la ng’ombe la mlengwa wa TASAF Bi. Joyce Kileo wa Kijiji cha Ngumbaru Kata ya Songu Wilayani Siha walipomtembelea mlengwa huyo kushuhudia namna alivyoboresha maisha yake kupia TASAF.