Habari
MHESHIMIWA RAIS AMEDHAMIRIA KILA MLENGWA WA TASAF ANAISHI MAISHA BORA-Mhe. Jenista

Sehemu ya wananchi na walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Wiri Kata ya Gararagua Wilayani Siha wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini wilayani humo.