Habari
MHESHIMIWA RAIS AMEDHAMIRIA KILA MLENGWA WA TASAF ANAISHI MAISHA BORA-Mhe. Jenista

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wananchi na walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Wiri kata ya Gararagua Wilayani Siha (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini wilayani humo.