Habari
MHE. WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUSIMAMIA SUALA LA NIDHAMU KWA WATUMISHI WAO

Mtumishi wa Wilaya ya Kwimba, Bi. Lyidia Bitaliho akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo mkoani Mwanza iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.