Habari
MHE. WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA KUSIMAMIA SUALA LA NIDHAMU KWA WATUMISHI WAO

Sehemu ya watumishi wa Wilaya ya Kwimba, mkoa wa Mwanza wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa Wilaya hiyo.