Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA ZA UZUSHI KUHUSIANA NA NDEGE YA RAIS Gulf Stream (G550)


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiagana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) Capt. Budodi Budodi mara baada ya Waziri huyo kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam kuzindua Bodi ya Ushauri ya Wakala hiyo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, Bw. Mululi Mahendeka na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ndege za Serikali, Prof. Mhandisi, Idrissa Mshoro.