Habari
MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WAHITIMU WA TPSC KUFAHAMU KUWA UTUMISHI WA UMMA NI IBADA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na mwanafunzi mwenye mahitaji maalum, Bw. Daudi Kingazi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Tanga mara baada ya kuhitimisha mahafali ya 37 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika mkoani Tanga.