Habari
MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WAHITIMU WA TPSC KUFAHAMU KUWA UTUMISHI WA UMMA NI IBADA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitunuku cheti kwa mmoja wa wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao wakati wa mahafali ya 37 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika mkoani Tanga.