Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WAHITIMU WA TPSC KUFAHAMU KUWA UTUMISHI WA UMMA NI IBADA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiimba kwaya na wanakwaya wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Kampasi ya Tanga wakati wa mahafali ya 37 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika mkoani Tanga.