Habari
MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WAHITIMU WA TPSC KUFAHAMU KUWA UTUMISHI WA UMMA NI IBADA

Sehemu ya wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya 37 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania wakiwa kwenye maandamano wakati wa mahafali ya 37 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania yaliyofanyika mkoani Tanga.