Habari
MHE.SIMBACHAWENE ATAKA NGUVU ZA WANANCHI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMKAKATI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kidenge katika Kata ya Luhundwa wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi hao Wilayani Mpwapwa, Mkoani Dodoma, Jimbo la Kibakwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma uliolenga kuwahamasisha wananchi katika kuibua miradi ya kimkakati katika maeneo yao ili Serikali iweze kusaidia katika ukamilishaji wa miradi hiyo na kuelezea utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.