Habari
MHE. SIMBACHAWENE ARIDHISHWA NA THAMANI YA FEDHA ILIYOTUMIKA KATIKA MRADI WA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MWANANGWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI

Mwonekano wa Shule ya wasichana Mwanangwa iliyojengwa kwa ufadhili wa TASAF katika Kijiji cha Mwanangwa, halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.