Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. SIMBACHAWENE ARIDHISHWA NA THAMANI YA FEDHA ILIYOTUMIKA KATIKA MRADI WA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MWANANGWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akivishwa skafu na wanafunzi wa Shule ya Mwanangwa mara baada ya kuwasili katika eneo hilo kwa lengo la kukagua Shule ya bweni la wasichana Mwanangwa lillojengwa kwa ufadhili wa TASAF, wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF katika halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.