Habari
MHE. SIMBACHAWENE ARIDHISHWA NA THAMANI YA FEDHA ILIYOTUMIKA KATIKA MRADI WA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MWANANGWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI

Baadhi ya Wananchi na walengwa wa TASAF wa kijiji cha Mwanangwa, Kata ya Mabuki wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati akizungumza na Wananchi na walengwa hao wa TASAF mara baada ya kukagua Shule ya bweni la wasichana Mwanangwa lillojengwa kwa ufadhili wa TASAF, wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF katika halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.