Habari
MHE. SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA WATENDAJI WA OFISI YAKE PAMOJA NA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE ILI KUJIPANGA KIUTENDAJI

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala bora, Bw. Xavier Daudi akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Mhandisi Benedict Ndomba mara baada ya kumalizika kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene na watendaji wa ofisi yake pamoja na taasisi zilizo chini ya ofisi yake kilichofanyika leo jijini Dodoma.