Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MHE. SIMBACHAWENE AFANYA KIKAO KAZI NA WATENDAJI WA OFISI YAKE PAMOJA NA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE ILI KUJIPANGA KIUTENDAJI


Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi akisikiliza jambo toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI, Bw. Kadari Singo mara baada ya kumalizika kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene na watendaji wa ofisi yake pamoja na taasisi zilizo chini ya ofisi yake kilichofanyika leo jijini Dodoma.